Sunday, October 24, 2004

LIFE/MAISHA

"Maisha ni mafupi,na hatuna muda mwingi wa kufurahisha nyoyo za wale tunaosafiri nao katika dunia hii yenye kiza.Uwe mwepesi basi wa kupenda!Ufanye haraka kuwa mwema kwa wenzako."